TAARIFA KWA UMMA

UUZAJI WA MALI ZA WADAIWA SUGU UNAANZA RASMI

Kampuni ya TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED, kwa niaba ya BODI YA BIMA YA AMANA (DEPOSIT INSURANCE BOARD) inawatangazia wadaiwa wote wa FBME Bank Limited (iliyochini ya ufilisi) Covenant Bank for Women (T) Limited (iliyochini ya ufilisi) na Efatha Bank Limited (iliyochini ya Ufilisi). 

KWAMBA

  1. Wadaiwa na wadhamini wao wote wa mabenki tajwa hapo juu, wanapewa siku kumi na nne (14 days) wawe wamelipa madeni yao yote wanayodaiwa na mabenki tajwa hapo juu.
  2. Iwapo hawatakuwa wamelipa madeni yao ndani ya muda huo waliopewa, hatua za ziada za kisheria zitachukuliwa juu yao; ikiwa ni Pamoja na kuuza dhamana zilizowekwa wakati wa kukopa. Aidha, tutakamata mali ya ziada kwa kutumia mkataba wa mkopo (facility letter) iliyosainiwa na pande mbili hizo na kuziuza kwa mnada wa hadhara bila taarifa ya ziada.

 

  1. Madeni yote yalipwe kupitia akaunti zifuatazo:
S/N TAARIFA ZA BENKI ZA FBME S/N TAARIFA ZA BENKI ZA FBME
i FBME Bank Limited Bank -Taarifa za Akaunti 

Jina la Akaunti: FBME Bank Limited

Bank Liquidation Account

Jina la benki: Benki kuu ya Tanzania

Namba ya Akaunti: 9924715111

Swift Code; TANZTZTX

ii FBME Bank Limited Bank Taarifa za Akaunti 

Jina la Akaunti: FBME Bank Limited 

Jina la benki; NMB Bank Plc

Namba ya Akaunti: 20110048285

Swift Code; NMIBTZTZ

S/N TAARIFA ZA BENKI ZA COVENANT S/N TAARIFA ZA BENKI ZA COVENANT
iii Covenant Bank for Women (T) Limited Taarifa za Akaunti

Jina la Akaunti: Covenant Bank for Women liquidation Account 

Jina la benki; Benki kuu ya Tanzania

Namba ya Akaunti 9924715131

Swift Code; TANZTZTX

iv Covenant Bank for Women (T) Limited Taarifa za Akaunti

Jina la Akaunti: Covenant Bank for Women liquidation Account

Jina la benki; NMB Bank Plc

Namba ya Akaunti 20110048277

Swift Code; NMIBTZTZ

TAARIFA ZA BENKI ZA EFATHA TAARIFA ZA BENKI ZA EFATHA
v Efatha Bank Limited Taarifa za Akaunti

Jina la Akaunti: Efatha Bank Limited Liquidation Account 

Jina la benki; Benki kuu ya Tanzania

Namba ya Akaunti :9924715141

Swift Code: TANZTZTX

vi Efatha Bank Limited Taarifa za Akaunti

Jina la Akaunti: Efatha Bank Limited 

Jina la benki Name; NMB Bank Plc

Namba ya Akaunti 20110048280

Swift Code; NMIBTZTZ

 

Orodha ya wadaiwa wote inapatikana kwenye website ya kampuni ambayo ni www.tambazaauctionmart.co.tz

Kwa maelezo ya ziada au maswali yoyote tafadhali wasiliana na (DIB) BODI YA BIMA YA AMANA kupitia

Simu: +225 22 2235390, Barua pepe: DIB- info@bot.go.tz

AU WAWEZA KUFIKA KATIKA OFISI ZA DIB MAKAO MAKUU YA BENKI KUU YA TANZANIA NA 16 BARABARA YA JAKAYA KIKWETE, S.L.P 2303, 40184, DODOMA TANZANIA.

 

Leave a comment