Mnada wa Hadhara wa vitu mbalimbali
Tarehe 14.09.2019 kutakuwa na Mnada wa Hadhara wa vitu mbalimbali vikiwemo Vifaa vya Maofisini, Makontena, Magari n.k. Watu wote mnakaribishwa.
Tarehe 14.09.2019 kutakuwa na Mnada wa Hadhara wa vitu mbalimbali vikiwemo Vifaa vya Maofisini, Makontena, Magari n.k. Watu wote mnakaribishwa.
KWA IDHINI, tuliyopewa na Mahakana ya Mwanzo ukonga kariyakoo Dar es salaam tutauza kwa mnada wa hadhara wa nyumba iliyopo tabata ugombolwa Dar es salaam tutauza nyumba hiyo kutokana na kesi ya mirathi Na .65/2010 ya Marehemu GERHARD D. NGINDO nyumba hii ni mali ya warithi, Nyumba inamazingira mazuri na salama, Mnada utafanyika tarehe 13/09/2019 siku ya ijumaa kuanzia saa 4:00 asubuhi WOTE […]